ACCRA, GHANA: Diamond Platnumz, Tuddy Thomas, DJ Ommy na Model wa kiume(Ben Breaker) watajwa kuwania tuzo za AELA2017

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
ACCRA,GHANA:Tuzo za African Entertainment Legend Awards(AELA)2017.

Hitmaker wa Hallelujah, Diamond platnumz pamoja na watanzania wafuatao
Tudy Thomas,Dj Ommy pamoja na super model wa kiume Ben Breaket,wamechaguliwa kwenye tuzo za AELA 2017 nchini Ghana.

Categories kama ifuatavyo kwa watanzania hao.
African Best Music Producer
Tudy Thomas.
Africa DJ (Disk jockey) of the year.
DJ Ommy.
Best Collaboration (Africa)
Diamond xTiwa savage-fire(Tanzanie/Nig)
AELA Hit Song of the year.
Diamond xTiwa savage-fire(Tanzanie/Nig)
Emerging Model of the year (Male&Female category)
Ben Breaker.
 
Kwani Tuddy ametengeneza hits ngapi? Kwani DJ bora bongo ni DJ ommy? Sio kwamba siwakubali ingebidi watupe vigezo vya kuwachagua sio kama siwakubali ni mawazo yangu tu
 
Kilichobak n support yetuu ya kuwapigia kuraa walud na hzo tuzo Tanzania
 
Kwani Tuddy ametengeneza hits ngapi? Kwani DJ bora bongo ni DJ ommy? Sio kwamba siwakubali ingebidi watupe vigezo vya kuwachagua sio kama siwakubali ni mawazo yangu tu
Hata mimi najiuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…