Mtanganyika JF-Expert Member Joined Jul 18, 2007 Posts 1,601 Reaction score 955 Mar 19, 2008 #1 Jamani mimi nina swala, nina mdogo wangu kamaliza form four na hataki kwenda A-level. Nauliza kuna vyuo vinavyotoa degree kwa credentential za form fours? Kama US colleges au Canada ambazo zina chukua wanafunzi kutoka high school straight.
Jamani mimi nina swala, nina mdogo wangu kamaliza form four na hataki kwenda A-level. Nauliza kuna vyuo vinavyotoa degree kwa credentential za form fours? Kama US colleges au Canada ambazo zina chukua wanafunzi kutoka high school straight.