NEW NOEL JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 863 Reaction score 408 Oct 21, 2011 #1 Watu uwa wanasema bahati haiji mara mbili,ila jamaa alijikuta akiishiwa lakini sasa amezipata tena. Hii inanikumbusha hata hayo kama sikosei yalimkuta Will Smith. Nenda kwenye hii link POPOTE TZ: ACE HOOD:MCHIZI AMBAYE ALIKAMATA PESA YA KUTOSHA KUPITIA MUZIKI LAKINI MWISHO WA SIKU ALIJIKUTA AKIFULIA.
Watu uwa wanasema bahati haiji mara mbili,ila jamaa alijikuta akiishiwa lakini sasa amezipata tena. Hii inanikumbusha hata hayo kama sikosei yalimkuta Will Smith. Nenda kwenye hii link POPOTE TZ: ACE HOOD:MCHIZI AMBAYE ALIKAMATA PESA YA KUTOSHA KUPITIA MUZIKI LAKINI MWISHO WA SIKU ALIJIKUTA AKIFULIA.