Mmh. Mkut hzo k-koo kuna toshiba hard d.ni 500,ram 2gb kwa 520,000 bei ya kuanzia.
Ndo mana hapa sio kkoo kwasababu nauza vitu genuine. Kanunue hiyo ya kkoo watakupa hata warrant ya miaka miwili ila kaa ukijua kila siku utakua unarudi dukan kulalamika na wenyewe watakua wanaipiga spana hadi utachoka mwenyewe. Nakuuzia kitu ambacho hutorudi kaka. Asante lkn!
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using JamiiForums