Mkuu kaulizie bei ya sasa hivi siyo chini ya laki saba mpya kabisa, au kama vipi nunua hii yangu kwa laki 4.Eti hiyo computer laki 8.5 hadi 7.5? Kaka acha kutuona maboya.
Komputer ya laki 4 hiyo unakuja kusema mpya inauzwa laki 8.5 hadi 7.5.
Eti mpya laki saba hadi 8 [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kaona kuna wajinga humu wa kudanganya.Core i2
Ram 2gb
Hata bure nitajutia gharama zangu za usafiri, samahani lakini namaanisha review hiyo price au specifications umekosea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kununua hiyo computer kwa laki 4 used hiyo ukipata mteja boya utamuuzia kwa laki 3.Mkuu kaulizie bei ya sasa hivi siyo chini ya laki saba mpya kabisa, au kama vipi nunua hii yangu kwa laki 4.
Mtumba au zipi maana hii sijatumia muda mrefuComputer hiyo dukani kwangu hapa kariakooo mtaaa Congo nauza kwa 350k hadi 400k.... Mpyaaaa kabisa njoo PM kama unataka laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama umetumia siku mbili hakuna mtu utamuuzia kwa laki 4 hiyo PC.Mtumba au zipi maana hii sijatumia muda mrefu
Itakuwa ni mara ya kwanza kumiliki Pc. Kwahiyo ulitoa laki 8 kununua hiyo pc [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aliyekuuzia alikukamata.Siwezi uza kwa hiyo bei
Amna mkuu mi kompyuta ninazo Kama 3 pamoja na hii so na hii sina matumizi nayo sana, lakini bei ya hii kompyuta dukani mpya ni laki 7 akiuza chini ya hapo ni kishikaji tu, Siyo Acer mtumba hii.Itakuwa ni mara ya kwanza kumiliki Pc. Kwahiyo ulitoa laki 8 kununua hiyo pc [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aliyekuuzia alikukamata.
Ram 2 Gb.Kwani nini unasema hivo mkuu
Mwachen dogo,kamaliza chuo anauza mali apate mtajJamaa anatuona maboya sana. Hajui computer ya laki 7 huyo.
Ila kaja kasi sana na bei zake za kuchekesha.
Bei niliyo nunulia hii computer ni siri yangu lakini nasema Bei ya Sasa Ni laki 7, Mimi siyo was kuuziwa mbuzi guniani ππππ€π€π€Ram 2 Gb.
HD 500.
Core i2
Uuze kwa laki 8 au 7 na wewe used uuze kwa laki 4? Hiyo ndoto kubwa sana.
Kuna mdau dukani kwake anakwambia anauza laki 4 mpya sasa huoni uliuziwa mbuzi kwenye gunia?
Habari za Koromije.
Nitolee ushamba wako hapa.Bei niliyo nunulia hii computer ni siri yangu lakini nasema Bei ya Sasa Ni laki 7, Mimi siyo was kuuziwa mbuzi guniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847]