INAUZWA Acer Laptop -E510

jopss

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
292
Reaction score
449
Habari wana jamvi
Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 .
Nipo Mbweni - Dar es salaam
 
Imenunuliwa miezi 6 iliyopita

Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward.

Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
 
Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward.

Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
Imetumika miezi sita. Nashukuru kwa marekebisho.
 
mh.mim nahitajii hiyo laptop lakini laki 2 cash ipoo .....+249129790575 WHATSAPP
 
250,000 ipo mkononi saivi, chukua mkuu nipo dar weka specifications za ram, hdd, na processor
Intel Celeron M 560 2.13 GHz Single Core Processor, 1GB Memory . DVD writer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…