Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Hivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote?
Habari yako
Samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa, namba yako nimetoa kwenye group la...
Mimi naitwa......, naishi DAR. Naomba usave namba yangu na mimi nisave yako[emoji1319] kwa ajiri ya:
Kwa wewe unaye penda kutuma meseji kama hizi kwa watu ukiamini ni njia nzuri kutengeneza connections, unafeli sana.
Watu wa maana hawaji kwenye maisha yako na kufanya kazi na wewe kiurahisi hivi.

- Urafiki
- Status view
- Kuhabarishana
- Money Connection
- mambo mbalimbali ya kiulimwengu [emoji288]
- Na pia ideas za business.