Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Mlime tofali tuHivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote?
"Habari yako?
samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa,namb yako nimetoa kwenye group la........
Mimi naitwa......, naishi DAR
Naomba
usave namba yangu na mimi nisave yako[emoji1319] kwa ajiri ya
mambo mbalimbali ya kiulimwengu [emoji288]
Na pia ideas za business...
[emoji1754]
Mi nisave.....
Sijui nikusave nan ndug[emoji1317][emoji2375]?"
................................................................
Kwa wewe unaye penda kutuma meseji kama hizi kwa watu ukiamini ni njia nzuri kutengeneza connections, unafeli sana.
Watu wa maana hawaji kwenye maisha yako na kufanya kazi na wewe kiurahisi hivi.
Huwa na report as a spam na ku-block kabisa.
WhatsApp status ni njia nzuri kufanya biashara ila approach ya kukusanya namba wengi wanafeli.
Duh [emoji23][emoji23][emoji23], picha 70+ status kwani anakununulia bando?Hao ndo wale ukisave number zao unaanza kushuhudia status 70+ per day
Pole sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na zingine nimefuta mpaka nimechoka, magroup ya WhatsApp niliyo nayo ni matatu tuView attachment 2030615View attachment 2030618View attachment 2030620View attachment 2030617View attachment 2030616View attachment 2030619View attachment 2030622
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh [emoji23][emoji23][emoji23], picha 70+ status kwani anakununulia bando?
Wehu sana
Nimewahi kutumiwa aina hii ya ujumbe na kitoto fulani, nakieleza mie ni mtu mzima hakinielewi... Leo ndio nimejua kumbe hizo sms ni standard format kabisa , maneno hayohayo!Hivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote?
Habari yako
Samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa, namba yako nimetoa kwenye group la...
Mimi naitwa......, naishi DAR. Naomba usave namba yangu na mimi nisave yako[emoji1319] kwa ajiri ya:
Mi nisave. Sijui nikusave nan ndug[emoji1317][emoji2375]?"
- Urafiki
- Status view
- Kuhabarishana
- Money Connection
- mambo mbalimbali ya kiulimwengu [emoji288]
- Na pia ideas za business.
Kwa wewe unaye penda kutuma meseji kama hizi kwa watu ukiamini ni njia nzuri kutengeneza connections, unafeli sana.
Watu wa maana hawaji kwenye maisha yako na kufanya kazi na wewe kiurahisi hivi.