Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

Kuna vitu nimewahi kuvikosa na bado maisha unayafurahia, pesa ukiikosa kabisa kuna kitu kinapungua sana.
1. Food and drink
2. Sex
3. Fame
4. Money/Power

Vyote ni kiu ya binadamu, Na Mungu hutujaribu kwanza kwenye hayo yote.

Pro. Jay kwasasa anasema dunia ikirudi nyuma miaka 10, asingefanya starehe za mwili. uhenda ingekua msaada wa yeye kutokupata matatizo aliyonayo.

Ubatili na kujirisha upepo
 
Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano.

Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu....🤔
#Madodi ✍🏼
Usilazimishe unavyohisi wewe nd'okila mtu.

Binadamu tumeumbwa kila mtu na vipaumbele vyake vya kimaisha.

Mwingine kusafiri kuangalia mandhari, mwingine kula, ndiyo furaha yake inakopatikana, mwingine ndiyo kama hivyo mapenzi nk nk.

Furaha ya binadamu haitokani na chanzo kimoja, tutadanganyana.
 
1. Food and drink
2. Sex
3. Fame
4. Money/Power

Vyote ni kiu ya binadamu, Na Mungu hutujaribu kwanza kwenye hayo yote.

Pro. Jay kwasasa anasema dunia ikirudi nyuma miaka 10, asingefanya starehe za mwili. uhenda ingekua msaada wa yeye kutokupata matatizo aliyonayo.

Ubatili na kujirisha upepo
Yote uliyoyataja bila pesa ni ngumu kufanyika kwa dunia ya sasa.
 
Back
Top Bottom