Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 279
1. Food and drinkKuna vitu nimewahi kuvikosa na bado maisha unayafurahia, pesa ukiikosa kabisa kuna kitu kinapungua sana.
Usilazimishe unavyohisi wewe nd'okila mtu.Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano.
Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu....π€
#Madodi βπΌ
Yote uliyoyataja bila pesa ni ngumu kufanyika kwa dunia ya sasa.1. Food and drink
2. Sex
3. Fame
4. Money/Power
Vyote ni kiu ya binadamu, Na Mungu hutujaribu kwanza kwenye hayo yote.
Pro. Jay kwasasa anasema dunia ikirudi nyuma miaka 10, asingefanya starehe za mwili. uhenda ingekua msaada wa yeye kutokupata matatizo aliyonayo.
Ubatili na kujirisha upepo
Utakua umeachwa weweKwani Kuna mtu kasema furaha ipo kwenye mapenzi?
Au ndo umeshtukia Leo!?