son_african_star
Member
- May 30, 2023
- 9
- 15
watu wengi katika ulimwengu wa kisasa wamezoea kufanya vitu kimazoea upelekea kupoteza ufanisi wa kazi na hata maendeleo yake kudumaa.
hii kutokana na kufanya vitu vile vile kila siku bila kutumia ubunifu wa hali ya juu hili kufanya jambo lako kila kukicha liwe na mvuto zaidi.
Unakuta mtu mwengine anaazisha kitu unachofanya wewe miaka nenda miaka rudi upati mafanikio hicho, ila yeye kwa mda mfupi akawa na maendeleo zaidi hii hinatoka na yeye anavyofanya kwa umakini wa hali ya juu nakujitolea kwenye kazi yake nakufanya vitu kwa ufasaa nakutumia akili ya ziada.
Kwa wale ambao ufanya vitu kimazoea anaweza kusema kuwa nimefanya kazi hii takriban miaka kumi sina maendeleo yoyote akika mimi nimelongwa lazima nimtafute mchawi wangu anayefanya nisiendelee miaka yote sina mbele wa nyuma niko pale pale.
Nakusisitia kuwa aujalongwa wala akuna mchawi bali kama kulongwa umejiloga mwenyewe na mchawi ni wewe mwenyewe kwa sababu unafanya vitu kimazoea bila kutumia akili ya ziada.
Kamwe uwezi kuwa na mafanikio makubwa kama unafanya vitu vyako kimazoea utakuwa unapoteza muda wako bila kunufaika kwa chochote kile nakuwa mtu wa lawama mda wote kamwe autoendelea katika maisha yako yote hapa duniani.
Kama ukiwa mfanya biashara kwa mfano umejiwekea utalatibu wa kufungua saa tatu asubuhi futa uwo utalatibu na haza kufungua saa kumi na mbili asubuhi utaona mabadiliko na maendeleo yako yatakavyokuja kwa wakati muafaka.
Kaa chini tafakali nichangamoto gani zinazo kuafanya usiendelee niwe pale pale miaka yote jitasimini chukua atua ya kutatua tatizo lako simama imara hamini utashinda.
Nakupata mafanikio makubwa katika maisha yako.

Upvote
2