Tabia hii ya kutoa story nusu nusu umeianza lini? Hebu lete mkasa mzima bhana!Yalinikuta kuna familia moja hoe hae nilijipendekeza kupeleka kiroba cha unga kama msaada,jibu nililopewa nikaondoka na kiroba changu
Ahahahah 😄😄😄Nulijipendekeza sana kwa demu mmoja hivi huku nikitumai kupewa tunda la katikati. Kilichonikatisha tamaa ni kuwa yule demu alimtunuku mwalimu wetu na kuniona Mimi sifai.
Mimi wala sikufanya ajizi, nilizama mzimamzima katika tasnia ya nyeto, na tunavyozungumza, nyeto imeninufaisha mno na sina time na mtu.
Fuata nyayo zangu na hutajuta.
Na funzo litapatikana pia.Story utacheka mpaka mbavu zikuume
Si lazima.Hivi mtu akikuelezea shida zake bila kukuomba ushauri wala msaada ,
Je inapaswa ujiongeze kumpa ushauri au kumsaidia au usubiri kwanza afunguke?
hahaha ! mkongwe kazini na style ya kutoboa godoro.Nulijipendekeza sana kwa demu mmoja hivi huku nikitumai kupewa tunda la katikati. Kilichonikatisha tamaa ni kuwa yule demu alimtunuku mwalimu wetu na kuniona Mimi sifai.
Mimi wala sikufanya ajizi, nilizama mzimamzima katika tasnia ya nyeto, na tunavyozungumza, nyeto imeninufaisha mno na sina time na mtu.
Fuata nyayo zangu na hutajuta.
Let's go 🔥.hahaha ! mkongwe kazini na style ya kutoboa godoro.
Ulienda na msimango?Yalinikuta kuna familia moja hoe hae nilijipendekeza kupeleka kiroba cha unga kama msaada,jibu nililopewa nikaondoka na kiroba changu