The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya mlango wa kizazi ni watu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja.
Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)
Chanzo: EATV
Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)
Chanzo: EATV