Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

Sahihi kabisa mkuu.

Mwalimu wetu alikuwa akituambia, Life has no mercy! And always only the fit will conquer. Alafu anasisitizia tena ONLY THE FIT!
Bahati ina nafasi yake katika maisha.
Hata hivyo bahati ni kama lifti.
Lifti huipata aliyeanza safari. Haikukuti nyumbani.

Katika soka penati inaweza kukupa ushindi.
Hata hivyo penati inapatikana kwa bahati. Si rahisi kuiitafuta ukaipata.
Huja kwa bahati.
Ukweli unabaki palepale kuwa hutapata penati bila kucheza.
Lazima uwe mchezoni ndipo upate penati.
 


πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…