BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3 mfululizo ndipo hapo viongozi walipiga pesa za usajili.
Kinachowapitia Yanga ndio kinacho wapitia Man City,hakuna timu yeyote dunia inayoweza kucheza misimu 3 mfululizo kwa intensity ile ile haitakaa itokee,viongozi walipaswa kufanya reshuffle,na sio kusajili wazee.
Sasa kitakacho wasaidia Yanga dirisha dogo wanapaswa kusahili wachezaji wenye matanki ya kutosha ambao wataingia moja kwa moja kwenye timu,Yanga wanapaswa kuachana na hawa wachezaji..
1.Chama
2.Aucho
3.Mkude
4.Sure boy
5.Mwanyeto
6.Pacome
Bila ya hivyo Yanga itashika nafasi ya 4 NBC, viongozi wasiwanyooshee vidole benchi la ufundi bali wajitathimini upuuzi wao wa kusajili kwa sifa.
Pia Simba nikiangalia kwa ufundi kuna sehemu wamekosea kwenye usajili na kuna sehemu wamepatia.
Walipokosea.
1.Joshua mutale
2.Mukwala
3.Ngoma
Hao wachezaji nishati zao zishashuka sana nao wajithamini kuna baya litawakuta soon
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Nakaribisha mapovu na matusi ila ukweli acha uwekwe wazi