Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Tuwekee mchanganuo wake itawasaidia na wenginetena unaweza kuta wana watoto kabisa. ni aibu kwa wanaume wengi sana. kama unajua wewe ni mhongaji mzuri angalau weka kwenye bajeti kiasi ambcho hakitaathiri matumizi mengine. mimi binafsi nina bajeti ya tsh 5,000 kwa mwezi. hii nimeiweka katika kundi la matumizi ya anasa.
Kwanini mkuu nipe somo kiufupi tu?Ni ngumu sana kutoboa ikiwa unafanya kazi ngumu za kutumia nguvu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ubaya ni kuwa ugumu tunaouona sisi wao kwa kiasi flani wameshauzoea kama sehemu ya maisha yao kwa hiyo akihonga huku kesho anaenda kubeba magunia anaona kawaida
Mkuu, achana na mapenzi, fanya mambo mengine! [emoji23][emoji23]mimi binafsi nina bajeti ya tsh 5,000 kwa mwezi. hii nimeiweka katika kundi la matumizi ya anasa.
Katia foraAnasa elfu 5000 ya kitanzania..π
Ndo Leo natambua kwamba nawe umo kwenye chama.Kwani kwenye kikao chetu cha mwisho cha UWABATA kuna member wamekiuka makubaliano yetu?
Kwani hicho kikao kiko wapi mkuu?Kwani kwenye kikao chetu cha mwisho cha UWABATA kuna member wamekiuka makubaliano yetu?
Mimi nimo humo kama mfadhili mkuu wa chama,Ndo Leo natambua kwamba nawe umo kwenye chama.
Ni kama kasahau sufuri moja hivi..πKatia fora
Makao makuu ya chama, chini ya mti wa muembe,hatupotezi hela kwa kukodisha hata Darasa la Shule ili kufanyia kikao.Kwani hicho kikao kiko wapi mkuu?
Aisee, mmetishaMimi nimo humo kama mfadhili mkuu wa chama,
π π