Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Habari zenu,
Uchafu ni tabia ya mtu binafsi na sio uanaume kama baadhi ya watu wachafu wanavyosema.
Kuna huu uzi Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?
Kwenye huo uzi ⬆️ kuna baadhi ya watu wanasema kabisa "ukiona Mwanaume ni msafi basi tambua huyo ni Mwanamke mwenye maumbile ya kiume".
Hakuna mtu ambae hajafundishwa usafi kwao, kwahyo usijifiche na uchafu wako kwenye kivuli cha Uanaume.
BADILIKA KIJANA ACHA UCHAFU!!!
Uzi Tayari.