Acha uchafu kwa kusingizia Uanaume

Jidanganye ,basi ingekuwa tunaoga kwa sabau yenu wanafunzi wa shule za gilrs na masister wangekuwa wachafu,ila kule ndio wanaongoza kwa usafi kuliko hata hawa wenye mabwana.
Mnatuogea sisi bana msizuge alaah, Ukivikuta ndani peke yao vichafuu havieleweki ila linapokuja swala la kujiexpose kwa wanaume hapo mnaanza mashindano ya usafi. Endeleeni kutuogea tunapenda sana usafi.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hayaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…