Ni kweri asee, vijana wanafurahi kutembea na wallet imetuna imejaa ela za mshahara wa mwisho wa mwezi......Kuilea, kuitunza na kuikuza pesa ni elimu muhimu sana. Nasikitika wengi wetu hatuna au tunajifunza kwa njia ngumu sana.
Acha upumbavu ww upupu ni upi sasa?Jifunze kuandika vizuri kwanza..sio kukurupuka tu..unajivunia kuwa verified?? Umefaidika na nn tangu wakujue unafuga kuku??u knw nutting abt business, branding ..yaani upo upo tu
Unaemtisha kuanzisha forum ako nani sasa..sisi tunachopinga hapa nikuletewa thread za upupu ..hatuzitaki!!!!!!
Huo "mshahara Wa mwisho Wa mwezi" unaweza ukawa una-times Mara 4 ya income yako ya mwezi.Ni kweri asee, vijana wanafurahi kutembea na wallet imetuna imejaa ela za mshahara wa mwisho wa mwezi......
karibu mkuu una jina la kwetu Kule kwenye bagiaMkuu huu uzi nimeupenda sana
Samsung note7
mkuu usijali hao watoto dawa imekolea thats why wanaliaNdo changamoto za humu some time nikujifanya fala ili mambo yaande mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni bishoo tuHpo mkuu umenigusa ila mi nilipopata kibarua nilimpeleka mwanangu shule moja international nikawa nalipa 2.5m kwa term , mshahara wote umeishia hapo sina kitu ila dogo anamaliza la saba mwaka huu. dogo ni kichwa balaa, sasa sijui ka na mimi nipo kwenye hilo group la mabishoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona brand yako itakua imechoka maana ushaizira unaonekana una dhiki au ujui kutafuta hela unaona wenzako wanatumia vibaya wewe hauzipati kama waoHIVI UNALINDA WADHIFA(BRAND,STATUS) AU UNALINDA UMASIKINI??? Etiiiii Etiiiii!!!!!!
Wengi wetu tunaishia kwenye kununua vitu ambavyo vitaendelea kutoa fedha mifukon mwetu badala ya kununua vitu ambavyo vitaingiza fedha mifukon mwetu. Nafikiri hili linaweza likawa JANGA la NNE la Taifa mana Ndio kikwazo cha wengi kuwa vilevile kwa zaidi ya Miaka lukuki, kila siku wanajipa moyo hadharani huku miyoni mwao kunaungua moto kwa kutosogea mbele kimapato.....
Tunapenda sifa kuliko hali zetu za maisha, TUNAPENDA watu watuone nje tuko vizuri kwa kipato kumbe ndani ya moyo ni MAJANGA......Masifa sifa tu ya kuvaa manguo ya bei kubwa, kunua mavitu ya thamani yasio na maana yeyote.....ETI unajiambia unalinda WADHIFA(BRAND) yako, Brand gani? Hiyo inayokufanya ufe maskini etiii?....
Mwengine anapendezesha nyumba kwa kununu Tv ya milioni 3 na kujipa moyo eti hata nikila dagaa ila kwangu papendeze! sasa unajiuliza hii tv italeta pesa mfukoni kweli?.. eeeti eeetii.
Nilishangaa pale nilipomuona Rafiki yangu mwaka mmoja baada ya kuanza kazi akachukua mkopo na kukunua gari la milion 10 na huku akiwa hana hata chanzo chengine za kuingiza pesa ya mafuta, huku gari iyo ikatumika kama gari ya kupigia misele badala ya kuifanya tax bubu, huku akiwa anapata mshahara nusu kutokana na mkopo kutoka kwenye lak 5.7 had 2.8, nilipomuuliza akaniambia
"Nataka nifanane na Uafisa" Daaah!!! Kuna raha gani ya kuwa ofisa machoni mwa watu kumbe moyoni mwake anajiona Kapuku tu kwasababu anaishi kiziki kuliko kawaida.
Nashangaa nilipomuona dada mmoja miez mitatu baada ya kuanza kazi za ndani mshahara wake wote wa miezi mitatu akaenda nunua smart fon, nilipomuuliza akaniambia "Namimi nataka nimuone Wema na Diamond" Shiiiiit!!!! Daaah!
Dada huyu angenunua mashine ya kupikia Tambi za Dengu na malighafi ya unga na vyombo vya kupikia, angekuwa ametumia pesa yake vyema na kuanza kuwekeza ili baada ya muda aje kununua simu kubwa zaidi ya ile kwababu pesa yake itakuwa imejizalisha katika biashara ya Tambi.
Siku moja niliulizwa kwanini vijana hawapendi kuwekeza kwenye biashara ndogondogo ambazo mitaji yake ni midogo ambayo wanaweza kuipata kwa urahisi, jibu likawa nikawajibu 'UBISHOO.' Akaniuliza kwa kustuka
"Ubishoo??", nikamjibu ndio ubishoo kwababu kila mmoja anataka kuonekana yupo online, yupo instagram ukoo anataka aonekane amepost picha ametinga tishert kali na raba kali akiwa yupo mlimani city, city mall, Pugu Mall, Quality Center.
Jiulize mtu huyu ataweza shika mavi ya kuku kweli? ataweza kuingia kwenye tope la vitunguu au mpunga? Serious bishoo uyu hawezi kazi za kushikashika uchafu, hizi ni kazi zetu sisi washamba wa mjini.
Dada zangu wengine kila wanapenda kulinda wadhifa wasiokuwa nao!!! Sasa wigi la laki 2 lanini wakati jana umetoka kuomba pesa kwa baba ya nauli. It shame, Nguvu na akili zinaenda kwenye wigi badala ya kwenda kwenye kamzunguko wa pesa ili ilete pesa.
WENGI wetu tunaogopa kuambiana ukweli na wakati uwo uwo tunataka kusifiana tu oooh umependeza na ilo wigi mara oooh umenoga na ilo gauni hata kama tunapotea, Daaah!. Sasa TV ya Milion 3 ya nini wakati ipo ya milioni 1 au ndo unalinda WADHIFA(BRAND)?,
La nini gari linalokula mafuta mengi wakati linalokula mafuta machache lipo au ndo unalinda Brand?, Yanini Simu ya Milioni 1 Wakati ya laki 5 ipo au ndo unalinda BRAND????.....ENDELEA Kulinda Brand wenzio wanalinda vitunguu na Viazi vyao uko kilombero na mihogo yao huko kisarawe na nyanya zao ilula na mahindi yao dabaga.......
ACHANA NA BRAND BRAND Izo wewe, wekeza pesa ili pesa iwe Brand inayojilinda yenyewe.....Sifa bila pesa ni sawa na Rimoti bila TV........
SORRY Kama nimekugusa ila ELEWA Hakuna DAWA Tamu.
hakuna dawa tamuNaona brand yako itakua imechoka maana ushaizira unaonekana una dhiki au ujui kutafuta hela unaona wenzako wanatumia vibaya wewe hauzipati kama wao
Dah tisha sanaHIVI UNALINDA WADHIFA(BRAND,STATUS) AU UNALINDA UMASIKINI??? Etiiiii Etiiiii!!!!!!

Haswaa 2.5 primary. Hats chuo kikuu sikulipa iyo adaHpo mkuu umenigusa ila mi nilipopata kibarua nilimpeleka mwanangu shule moja international nikawa nalipa 2.5m kwa term , mshahara wote umeishia hapo sina kitu ila dogo anamaliza la saba mwaka huu. dogo ni kichwa balaa, sasa sijui ka na mimi nipo kwenye hilo group la mabishoo
Sent using Jamii Forums mobile app