Acha upumbavu wa kuiga .

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Ukisikia mimi na lewa kila siku, acha upumbavu wa kuiiga. wewe ulikia wapi kuna binadamu hapungikiwi na pesa yeye pombe tuπŸ˜†πŸ˜†

Utafeli hizo,figo maini sisi tutabaki tukiwacheka tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ni mwendo wa gongo na butuka la wanzuki mkuu utakufa ww kwa kuendekeza mbunye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…