meckie
Member
- Feb 3, 2017
- 22
- 10
Hatunywi sumu..hatujinyongiii...tararara....mbele kwa mbelee..tumeipenda wenyewe..chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe....tantaaa..acha waisome namba ee..watasoma nambaa....(jamn haka kawimbo alietunga aliona mpaka mwaka huu)[emoji2] [emoji2] [emoji2]