Acha wewe, ku-run hardware inahitaji nguvu mno, yani unakuta kabox kamoja kenye bidhaa aina tatu tu za jumla ni lakini nane

Acha wewe, ku-run hardware inahitaji nguvu mno, yani unakuta kabox kamoja kenye bidhaa aina tatu tu za jumla ni lakini nane

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara

Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako

Kwa hio kama unaingia katika sekta uwe vizuri financially, tofauti na hapo utakaa ndani unahesabu mabox.
 
Nina 20m, imezagaa zagaa huko UTT nataka nianze na Hardware ndogo inayouza vitu vidogo vidogo, vp wakuu kuna kutoboa au niendelee kuiacha huko UTT
 
Harware zipo za aina nyingi sio lazima hardware iwe na kila kitu,
Naamini hata kwa 20m mtu anaweza kuanza, kikubwa ni focus
 
Back
Top Bottom