Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
India pm mkuuHii ndio tabia ya KILA BIASHARA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nilitamanigi sanaa kusoma CFA niwe FINANCIAL ANALYST yule Certified.India pm mkuu
Ina faida ila inahitaji mtaji wa kueleweka + matumizi mazuri ya fedhaVipi lakin si ina mpunga sana ?
Hii biashara kuna siku nitakuja kuifanya
Mtaji wa kueleweka ni bei gani ?Ina faida ila inahitaji mtaji wa kueleweka + matumizi mazuri ya fedha
100M +Mtaji wa kueleweka ni bei gani ?