acha wivu.mpe sifa yake

acha wivu.mpe sifa yake

EvJ

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Posts
194
Reaction score
25
bella yuko juu wakuu.wimbo wake fulan hivi siujui jina ila anaimba hivi "uhhuhuhu usiliee.........."kamshirikisha banana.
aisee bella uko juu,mutu ya watu,takuja msasani next wk unlushe.
 
Sasa kama sifa ni yake, nimpe kwani niliiazima?
 
Huyo si ndiye aloimba 'ukisikia nimekufa usiweke msiba; ila sherekea kwa sababu una roho mbaya; we mbaya"...kama ni yeye hata mimi namkubali.
 
Hii nyimbo nimeisikia leo doooh! Ni nzuri sana, na kuna ile nyingine ameimba anamsifia muzamir katunzi ni balaa, christian bella anajua!
 
Back
Top Bottom