Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Msaada wajameni kama zile zinakuwaga ndani ya kopo (zinauzwa supermarket) na mafuta kidogo na pilipli kwa mbali hivi!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mahitaji![]()
-5 maembe mabichi yalimenywa na kukatwa kwa urefu
-2tsp cumin seed
-1tsp chumvi
-3 tsp ya vitunguu saumu vilivyosagwa
-5 pilipili mbuzi, zilizokatwa kwa urefu
-3 ndimu
-1 karoti grated (optional)
Mapishi
Tia mafuta kwenye sufuria (bora ikiwa non stick) ikipata moto tia saumu vikaange mpaka iwe rangi ya light brown tia cumin seedpilipili manga na , endelea kuzichanganya kwa dakika tia pilipili na zikaange kwa dakika, tia maembe yako na karoti endelea kuchanganya punguza moto mdogo halafu tia ndimu (siki) na chumvi. Endelea kugeuza kila mara mpaka maembe yatakapo iva.
Ikiwa itakauka sana unaweza kutia maji kama nusu kikombe tu, funika huku inachemka kwenye moto mdogo kwa muda wa 20 mins.
Zima mote, subiri ipowe, tia kwenye chupa yake tia kwenye friji.
cc Majigo