Achana na fake media, cheki hapa msafara wa magari 40,000 ya wafuasi wa Trump

Achana na fake media, cheki hapa msafara wa magari 40,000 ya wafuasi wa Trump

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264

Ila media bhana. Ukisikiliza CNN unaweza kudhani Trump hatoshinda hta kwenye jimbo moja. Yaani wao ni negativity tu kwa kila anachofanya
Yani tukianzaga tu hata humu jf ni wengi sana wamelishwa taka taka na cnn wamekuwa vipofu, Mtu anaropoka pumba zile zile za cnn....Hongera sana kwa kujitambua chief, ni wachache sana kwa hapa tz mnajua kichambua mawe na mchele wa habari za media
 
CNN wanazingatia maoni ya wananchi na siyo Lazima maoni yanayotolewa Sasa hivi yaakisi matokeo ya Uchaguzi. Lakini pia hata ukifuatilia maoni yanayokusanywa na Fox News ambacho ni chombo kikubwa kinachomsapoti Trump, bado hata wao wanaonyesha kwa kura za maoni Biden Yuko juu ya Trump. Kwa hiyo tusipingane na uhalisia. Hata Kama Trump akishinda ila kwa Sasa upepo unaonyesha Biden ndo atashinda
 
Back
Top Bottom