Hofu hufanya kazi kupooza, inaweza kukufanya uwe mgonjwa, inaweza kuingilia kati kinga yako dhidi ya maambukizo
Wasiwasi unaweza kukufanya uwe mgonjwa, unaharibu na hudhoofisha kinga yako
HAKUNA faida hata moja kwa wasiwasi au woga.
Uhakika pekee ulionao ni kuwa na wakati mgumu na kuongeza nafasi ya matukio mabaya unayoogopa.
Wacha tuondoe mwelekeo wetu mbali na woga, mbali na wasiwasi.
Ingawa ni busara katika nyakati hizi kufuata taratibu zilizowekwa na wataalam.
achana na hofu ya COVID, isitawale mawazo yako.
Acha kusoma takwimu za wagonjwa . Hazikusaidii kwa njia yoyote. Hizo takwimu zinaweza kuwa muhimu kwa wataalamu wa magonjwa lakini sio wewe na mimi. Vifo vya maambukizo vinatokea wakati wowote, Kamwe tusiwe busy na hilo vichwani mwetu.
Tunakubali kuwa janga hili tunalo hapa na tunachukua hatua za busara ili kuzuia. Sasa ni vyema tuwe bize na kile tunachokifanya kila siku ili kuendesha maisha yetu maana kila mmoja anajua ugumu wake.
Nimeamua kuandika ushauri wangu kwenu juu ya ya hili gonjwa la COVID 19, nawaomba tusiwe woga ili tuishi maisha yenye furaha, hakuna wa kuzuia kifo kama MUNGU amepanga, lakini tusiache kufuata taratibu za wataalamu.
Kama mimi huvaa barakoa na kupunguza mwendo wangu mwenyewe, sihudhurii mikusanyiko isiyo ya lazima kwani hili ndio jambo linalosikika kuwa la busara na jambo sahihi la kufanya. Lakini vile vile mawazo yangu hayasumbiliwi tena na habari za janga.
Hofu ni sawa na upumbavu
Wasiwasi ni sawa na upumbavu.