funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 343
Mazingira yanaweza kutofautiana kidogo lakini muelekea mmoja. Ilikuwaje na ulichukua hatua gani? Jamaa yangu imemtokea kweli hii.
Anasema: Simu, Inaita, Kucheki namba mpya. Hallo!
Upande wa pili,
Mzungumzaji anakusalimu kwa kukutaja kwa jina lako halisi,
Bwana funluverx ,
'Hunijui, Ila Mimi nakujua ,
Tafadhali Achana na Mke wangu,
Najua mmeshapanga hadi Guest mtakayokutana na ninaifahamu.
Mimi ninafuatilia kila kitu,'
Jamaa hamezi Mate.
Mke gani?- unauliza..
'Anamtaja (Fulani)
Huyo Mke unaetuhumiwa kuchepuka naye,
Ni kweli unamjua Ila hujawahi hata kumtongoza.
Unajaribu kumuelewesha,
Jamaa amalizia;'
'Nawajua mpo watatu,
Wote mnamtongoza Mke wangu,
Najua mmeamua kuniharibia Ndoa yangu,
Poa tu.
Ila ikibidi nitamuacha mumtumie mpendavyo.
Hapa unafanyaje?
Jamaa yangu haelewi nini cha kufanya na anaapa hajawahi kumtongoza anaetuhumiwa nae achilia mbali kumla.