'Achana na Mke/Mume wangu'. Umewahi kuchimbwa Mkwara huu?

funluverx

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
480
Reaction score
343
Mazingira yanaweza kutofautiana kidogo lakini muelekea mmoja. Ilikuwaje na ulichukua hatua gani? Jamaa yangu imemtokea kweli hii.

Anasema: Simu, Inaita, Kucheki namba mpya. Hallo!
Upande wa pili,
Mzungumzaji anakusalimu kwa kukutaja kwa jina lako halisi,
Bwana funluverx ,
'Hunijui, Ila Mimi nakujua ,
Tafadhali Achana na Mke wangu,
Najua mmeshapanga hadi Guest mtakayokutana na ninaifahamu.
Mimi ninafuatilia kila kitu,'
Jamaa hamezi Mate.
Mke gani?- unauliza..
'Anamtaja (Fulani)
Huyo Mke unaetuhumiwa kuchepuka naye,
Ni kweli unamjua Ila hujawahi hata kumtongoza.
Unajaribu kumuelewesha,
Jamaa amalizia;'
'Nawajua mpo watatu,
Wote mnamtongoza Mke wangu,
Najua mmeamua kuniharibia Ndoa yangu,
Poa tu.
Ila ikibidi nitamuacha mumtumie mpendavyo.

Hapa unafanyaje?

Jamaa yangu haelewi nini cha kufanya na anaapa hajawahi kumtongoza anaetuhumiwa nae achilia mbali kumla.
 
Hii kitu huwa naiona sana kwa wanawake. Mke wangu amewahi kuwapigia simu wanawake wawili ambao nafanya nao kazi. Aliwapiga mkwara kama huu, kisa aliona wamenipigia simu nikiwa nyumbani. Ukweli walikuwa wananiomba ruhusa ya kutokuja kazini. Mke wivu, akahisi ninamahusiano nao kwa nyakati tofauti aliwapiga mikwara kama hii. Sijui kwa nini wanandoa huwa hawajiamini. Mtu sahihi wa kumpiga mkwara ni huyo mpenzi wako. Hawa watu wa nje ni kama vile unawapa ruhusa wafanyekweli hata kama hawakuwahi kuchepuka
 
Mambo ya kuoa na changamoto zake aisee!

Haya mambo yana wigo mpana sana.
Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu.

Tulia ndoani, punguza vifo visivyo vya lazima.
 
Ili kukwepa hizi adha kila siku ninashauri
"Wanaume Wenzangu tuliooa hakika tuwalabue wake zetu ipasavyo kwa mikuyenge Yetu la sivyo tutasaidiwa"

Mwisho wa kujinukuu.
Mkuu wengine ni Kunguru wa Zanzibar hawafugiki ng'oo...
 
Kuna jamaa ashawahi kunifuata na kunitumia hadi watu, kumbe hata huyo mke wake mwenyewe sina mazoea naye kivile. Nilitaka kumfundisha adabu nikaja kuambiwa ana shida kichwani nikamuacha tu.
 
Mi mbona mara kibao tuu imeshanitokea mpaka sasa nimeshazoea wala hua sishtuki. Ikitokea hivyo unapiga chini tu huyo manzi unakamata mwingine.. mbona wapo wengi mitaani kwanini ujihatarishe?
 
Mimi nilishampiga mtu mkwara na ikashindikana,tena alikuwa ex wake,nimemuachia,wana mtoto sasa,wakati nilishazaa nae wawili..
Mwanamke akishahama anahama mpaka na hisia,ikifika hapo muache tu aende zake...visasi havisaidii,ingawa inauma,tena sana,it took me 2 yrs kuwa hali ya kawaida,kwenda mpaka clinic za akili,huwi mtu wa kawaida
Huyo mwenzako mwambie awe makini,7bu watu tunatofautiana,ila jambo moja afahamu,hata akiweza kumchukua huyo mwanamke?,ajue anaenda kumpa depression,anxiety,na kila kitu mwanaume mwenzie,"what goes around,will always come back around"
 
Kuna jamaa ashawahi kunifuata na kunitumia hadi watu, kumbe hata huyo mke wake mwenyewe sina mazoea naye kivile. Nilitaka kumfundisha adabu nikaja kuambiwa ana shida kichwani nikamuacha tu.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Ili kukwepa hizi adha kila siku ninashauri
"Wanaume Wenzangu tuliooa hakika tuwalabue wake zetu ipasavyo kwa mikuyenge Yetu la sivyo tutasaidiwa"

Mwisho wa kujinukuu.
Hata ukimpa na pesa nyumba nzima kama ni wa kutoka atatoka tu.
 
hakuwa amemuoa,akanipiga mkwara achana na huyo dada nina malengo naye...nilimwambia we are just friends sijawahi kugonga
 
Ili kukwepa hizi adha kila siku ninashauri
"Wanaume Wenzangu tuliooa hakika tuwalabue wake zetu ipasavyo kwa mikuyenge Yetu la sivyo tutasaidiwa"

Mwisho wa kujinukuu.
Naunga Mkono hoja, dawa ni kulizibua hilo sikio la chini hadi akinai hicho kitendo[emoji16]
 
Ili kukwepa hizi adha kila siku ninashauri
"Wanaume Wenzangu tuliooa hakika tuwalabue wake zetu ipasavyo kwa mikuyenge Yetu la sivyo tutasaidiwa"

Mwisho wa kujinukuu.
"Tuwalabue" hili neno umenikumbusha mbali lol,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…