Achana na mwanamke bwana

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ni Ijumaa Ya Mwisho Wa Mwezi Mke Anataka Kumpima Iman Mmewe..*

*Akasajili Line Mpya Tofaut Na Ile Anayoitumia Kila Siku Akatulia!*

*Mnamo Saa Tisa Alasiri Mmeme Anarud Kutoka Kazini,, baada ya mume wake kupata lunch na kupumzika sebuleni akiangalia season ya wakolea*


MKE,,mme wangu samahan naomba unisaidie Tsh10000/= nkaset nywele saloon

MME,,sina hela shka 1000 ukanyowe staki ujinga !!!
*jamaa akasepa uku akijisonya kwa hasira*
usiku wakiwa wamelala kila mtu amegeukia upande wake ...mke Kwa line mpya akamtumia sms mmewe

MKE..baabyy mambo !!!

MME..poa nambie (huku aktpa jcho kwa mkewe km anamuona)

MKE..Baby umenisusiaaaaaje !!! tang tmeachana pale supermarket my ?

MME..aaah ANGEL samahan my nakupgia subiri kdg,,, *huku aktoka nje kwa kunyatia...*

MME..Waaoouh !!! i mc u

MKE..mis u too..najua kwa mda uu upo na mkeo tutaongea vzur tukiktana nsaidie 100000/= nkafanye shopping my..

MME..ucjal my m na we tena,,,akamtumia 150000/= cash!

MKE..akamtumia sms kwa line yake ya siku zote

*ASANTE KWA KUNIJAL MME WANG NJO NDAN TULALE....*
itaendelea mme akirud ndan,,,
 
mawili anaweza mgeuzia kibao mke kuwa alijua ni yeye.. au akawa mpole na kuomba msamha
Hahaha kuna wengine vichwa vyao wanajua wenyewe yaan utamfumania kama hivyo na kipigo utapokea tu...atakwambia hapendi kujaribiwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mbavu zangu mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…