kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Upuuzi sasa Kama wanafahamiana itasaidia Nini timu lenyewe hata academy halina sembuse uwanja tuSawa Simba tumewasikia[emoji51][emoji51] hongereni kwa connection
Unateseka tena ?Upuuzi sasa Kama wanafahamiana itasaidia Nini timu lenyewe hata academy halina sembuse uwanja tu
Upuuzi sasa Kama wanafahamiana itasaidia Nini timu lenyewe hata academy halina sembuse uwanja tu
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu.
Hongera madame CEO.Simba to next level
Simba nguvu moja
Utopolo mna la kujifunza. Mara zote tuko hatua moja mbele yenu.๐Sawa Simba tumewasikia๐ฌ๐ฌ hongereni kwa connection
Timu lenyewe bayaa , masifa kibao๐ฌUpuuzi sasa Kama wanafahamiana itasaidia Nini timu lenyewe hata academy halina sembuse uwanja tu
Eeh hatua moja kurudi nyuma labda, yani simba mna masifa sana nyie๐Utopolo mna la kujifunza. Mara zote tuko hatua moja mbele yenu.๐
Halafu nikuibie siri. 'Wanawake wote warembo wako Simba sc'. (Jitafakari)Eeh hatua moja kurudi nyuma labda, yani simba mna masifa sana nyie๐
Akili za kuambiwa changanya na zako....MO hakuwahi kumpenda Senzo ..pata picha pale Boss wako anavyokuwa hakupendi kila ukipeleka mpango mezani anaupiga chini...we acha kabisa...Huyu mwanamke "ni pendo la MO" saana ndio maana kila aombacho anapewa kumbuka bado yupo mafunzoni jinsi ya kuongoza soka lakini watanzania na ulimbukeni wetu tukiongozwa na wachambuzi mandazi wa soka letu tunaona eti kafanya makubwa ...hamna kitu...CEO wa sasa Simba baada ya Senzo ni General wa zamani kutoka NSSF nadhani mnamfahamu (Magori) yule mwanamke yupo pale kama picha tu kingereza kingi tuBaada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu.
Hongera madame CEO.Simba to next level
Simba nguvu moja
Mo arena uwanja wa mazoeziTimu gani halina uwanja tena ?
Si tuliambiwa Simba Mo arena pale Bunju ni uwanja ?
Mkuu ulikua nje ya nchi kwa muda mrefu kwani ?
Mkuu unataka tugombane usiku huu siyo? Unamaanisha mimi ni mbaya(ugly) ndiyo maana nipo timu ya wananchi? Acha hizo pisi kali zote mjini zinapatikana Yanga,Babe wako mwenyewe yupo huku๐Halafu nikuibie siri. 'Wanawake wote warembo wako Simba sc'. (Jitafakari)
๐๐
mboga za wakubwaUpuuzi sasa Kama wanafahamiana itasaidia Nini timu lenyewe hata academy halina sembuse uwanja tu
Huendamboga za wakubwa