Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

Mlisha jazwa ujinga
Unafikiri sisi ni wajinga kama utopolo wanaoaminishwa Morison ni mchezaji wao wakati yuko Msimbazi , mnadanganywa kuna kesi cas wakati hamna kitu, mnapoteza muda kwenda airport kupokea timu ambayo hata haiwajui, mmejitokeza kuwabeba kina Sarmpong leo mnaona hawafai.
 
Mkuu unataka tugombane usiku huu siyo? Unamaanisha mimi ni mbaya(ugly) ndiyo maana nipo timu ya wananchi? Acha hizo pisi kali zote mjini zinapatikana Yanga,Babe wako mwenyewe yupo huku😀
Kumbe uko Utopoloni? Siku zote nlikuwa najua wewe bonge la mrembo.... maana warembo wote nyumbani kwao Msimbazi
 
Wakati Simba ikifanya mambo kimataifa Utopolo wao wnavurugana makundi yafuatayo:
Viongozi Vs benchi la ufundi.
Mashabiki Vs Marefa.
Yanga gsm Vs Yanga asili.
 
Subiri,usiwe na haraka
 
Hii ndio inaonesha jinsi washabiki wa utopolo msivyojua soka ni nini.

Simba siyo chama cha siasa,kwa hiyo usilete mambo ya ukabila.

Kuna wapenzi wa soka wengi wanashabikia arsenal,Liverpool n.k Ninyi wana uto polo hadi uone mjomba wako anacha eza ndio ushabikie timu?
Nimegundua washabiki wa utopolo mpira mnauona kama ndondo tu ndio maana mmedanganywa timu ni yenu,kumbe ni ya wajanja wachache wanaofaidi,including wachambuzi maandazi wanaila sana timu yenu
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu rage hakukosea sasa akishiriki huo mkutano Kuna faida gani wakati timu lite wachezaji wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…