Achana na TikTok, kuna app inaitwa Xiaohongshu inawaumiza kichwa Wamaerekani

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—”๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ถ๐—ธ๐—ง๐—ผ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ด๐˜€๐—ต๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ



Wachina wanazidi kuwahumiza vichwa marekani ๐Ÿฅฑ

Baada ya TikTok kuwa kwenye mpango wa kuondoshwa, watumiaji wa marekani wamemiminika kwenye app nyingine ya video kutoka china inaitwa Xiaohongshu pia inajulikana kama Rednote.

Kwa sasa program hii inashika nafasi ya kwanza kuwa program inayopakuliwa sana kwenye soko la App store. Kwa wale wapenzi wa content mbalimbali za video na picha basi Xiaohongshu ni mbadala wa TikTok ina muundo unaofanana na app ya Pinterest.



Mtandao huo unawatumiaji milioni 300 ambao wako active kila mwezi na asilimia 79% wengi wao ni wanawake. TikTok ikikabiliwa na uwezekano wa kufungwa nchini marekani program hiyo inazidi kushika Kasi.

Kwa mara ya kwanza iliachiwa mwaka 2013 ni app maarufu sana nchini china kwa Sasa ikiwa ina support English language na kuwavutia watumiaji wengi wa TikTok kuhamia huko.
 
Umeanzisha thread kama yangu, hii app kwa kiingereza inaitwa rednote.
 
Link ya thread yako ipo wapi?
 
Kwa hiyo katazamia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ