Achana Nao

Achana Nao

Speratus

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
5
Reaction score
6
Achana nao!!!
______________

Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao..!!!
Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejaa wali na kachumbari Tu.
Baada ya kula nikamuliza Mlengule,
"Kulikoni watoto wale wali na kachumbari wakati sisi tumekula minyama kibao?!"
Akajibu kwa kujiamini kabisa..
"Achana nao hao wapumbavu wanajifanya hawali mbwa [emoji240][emoji190]"
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Nawaza sana sijui ningefanya nini kama mimi ndiye niliyeuliza swali juu ya watoto kula kachumbari na majibu yake!
 
OMG !! ice joke.. u made my Day!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaza sana sijui ningefanya nini kama mimi ndiye niliyeuliza swali juu ya watoto kula kachumbari na majibu yake!
Wala usiwaze,ningekua mimi ninge JINYEA tu basi [emoji57][emoji57]
 
Kuna jamii ya watu kwao hiyo ni bonge la kitoweo... so sukumia na maji ya kunywa then endelea na maisha maana sio sumu.
 
Achana nao!!!
______________

Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao..!!!
Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejaa wali na kachumbari Tu.
Baada ya kula nikamuliza Mlengule,
"Kulikoni watoto wale wali na kachumbari wakati sisi tumekula minyama kibao?!"
Akajibu kwa kujiamini kabisa..
"Achana nao hao wapumbavu wanajifanya hawali mbwa [emoji240][emoji190]"
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
[emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fakeni
 
Back
Top Bottom