Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Information zoote utazipata kwenye website yao kutumia maagent mara nyingi lazima wakutoe pesa ambazo hapo ulipokaa unaweza kupata infor zoote na kuapply hapo hapo.Ukiwa na maswali ni vema ukawandikia email direct Acharya.Je kuna mtu ana information zozote kuhusu chuo cha Acharya? Nataka kuapply for a course na nimeambiwa wana local agent hapa bongo. Anyone?
Chuo " ACHARYA INSTITUTE OF MANAGEMENT & SCIENCE
URL; www.acharyaims.ac.in
email: admissions@acharyaims.ac.in
Tel: +91 80 6567 9112
Fax: +91 80 2839 1533
Kuna agent wa chuo cha Acharya Institute of Management studies cha Bangalore India ambaye yupo Dare es salaam na hatozi pesa yoyote. Unaweza kuwasiliana nae katika saa za kazi , Mrs Morris simu namba 0786348885 . Pia anaweza kukupatia fee structure na application form.