Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Itokee siku moja Rais aende uwanja wa Taifa ili kukusanya maoni ya Watanzania juu ya mustakabali wa Taifa lao.
Kutwa nzima tujadili ni namna gani umaskini na ufukara ukomeshwe.
Tujadili ni namna gani wizi na ufisadi katika utumishi wa umma ukomeshwe. Tujadili mustakabali wa elimu yetu na afya. Bila kusahau miundombinu na uwekezaji.
Ikiwezekana zoezi kifanyike kwa siku 3 mpaka 5. Watanzania wako tayari hata kwa kiingilio cha sh. Laki moja watu watajaa. Tuache ujinga, eti mtu anakusanya viongozi wa dini na waumini wao wanaombea Taifa.
Huyo mungu gani mnayemwomba ikiwa kila dini wana Mungu wao?
Kama maombi ni bora kwa taifa kuliko kufanya mikakati sahihi basi China wana Mungu bora kuliko Tanzania.