GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.

Wewe utakuwa kama "mkuu wa meza" juani.Hadi tarehe 28 mtakuwa kama sindano.
Visokolokwinyo🐵🐒🦍🐶🐕🐩🐺🐆🐅🐯🦁🐈🐱🦊🐴🐎🦄🦓🦌🐮🐂Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Leo muulize ana maoni gani kuhusu huyu 'kipenzi' chake na 'wasiojulikana' wake, kisha urejee hapa kuwaeleza 'visokolokwinyo' 🙄Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Huyu mzee ana rangi nyingi sana za kirongo rongo. Na kwa sababu ni za kirongo rongo huwa hazicherewi kupotea au huzidiwa nguvu na ile rangi yake halisi. Siku hizi za kampeni huwa anajitahidi sana kuficha hii rangi yake halisi. Hata hivo kuna wakati hushindikana kuificha na ndio maana tunamuona akifoka foka na raia ambao kwa sasa anahitaji kura zao.Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Sasa kati ya Magufuli na Lissu nani mropokaji zaidi (siyo kulopoka)?Yeye ni kulopoka na kunadirika kila dakika.
Magufuli anaishi kwa uongo na Ujanja ujanja wa kishamba.
Kutamka hadharani ujenzi wa Chato International Airport na mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu si kuropoka Bali ni ukweli.Sasa kati ya Magufuli na Lissu nani mropokaji zaidi (siyo kulopoka)?
Mungo Oyee.Kutamka hadharani ujenzi wa Chato International Airport na mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu si kuropoka Bali ni ukweli.
Mungo Oyee
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Kwa kawaida anaye kuambia Kila Mara kuwa unakosea,kwa maana ya kukushauri ,jua huyo ni rafiki was kweli kwani anataka ujirekebishe unapokosea.Sasa ni juu ya mhusika ama akubali ushauri wenye Nia njema ama ukatae.Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.
HabariLeo
Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Sasa the genius!! Ulitaka asemeje wakati hiki ni kipindi cha kampeni na yule ni mgombea wa Chama chake????Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.