njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ni kama routine tu ya kibaolojia kwamba itabidi uende haja ndogo na kubwa ili mwili uendelee ku operate, ni kama routine kwamba itabidi ule ili u survive.
Ndivyo ilivyo reports za CAG kwa Tanganyika na Zanzibar, pesa zinapigwa kwelikweli, reports zinasomwa kila mwaka upigaji unaongezeka nobody cares watu wana act kama wamekasirika na upigaji huo after 2 days yote yanasahaulika inakuwa business as usual.
Mmeona hata Zanzibar Rais wao analalamika anawajua hadi walioiba, lakini analalama hajui la kufanya huku Tanganyika ndo usiseme majizi yanatamba, reports ya CAG ikitoka wanacheka tu.
Endeleeni kulipa tozo ndugu zangu kuweni wazalendo, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Imagine TRA wanakuambia hawajui ile 1000 ya tozo kwenye luku inaenda wapi?
Singida Big Stars, lexus new models, mafuta full tanks gari hamna kuzimwa? furnitures za uturuki, linchi lina laana hili kama siyo limelogwa.
Usirudie kuchukulia serious reports za CAG sikiliza angalia ila in your mind fanya kama unaangalia comedy ya eddie murphy au Kevin Hart.
Majizi yanalindana hatari