Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Unaanza kutoa mahari ya mke, kisha unamalizia kutoa zawadi kwa mama, kaka na ndugu wote.
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia.
Mwanzo 24:53: Kisha huyo mtumishi akatoa vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, akampa Rebeka; na vitu vya thamani akampa nduguye na mamaye pia.