Wadau hamjamboni nyote?
Inatoa mahari ya mke
Unatoa zawadi kwa mama, kaka na ndugu wote.
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia.
Mwanzo 24:53: Kisha huyo mtumishi akatoa vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, akampa Rebeka; na vitu vya thamani akampa nduguye na mamaye pia.