Acheni kumponda Mzungu

rajiih

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
489
Reaction score
744
Yani unakuta wanasimba wasiojua mpira wanaponda kiwango cha Mzungu Kuna cha kujiuliza hapa kabla ya kumshambulia kuwa hajui

01/ Mchezaji anaingia wakati team iko katika Hali ya kuelemewa kimchezo hivyo kufanya mipira isimfikie kwa wakati

02/ Team inakua imepotea haina utulivu hivyo kufanya kuwa na low performance kwa viungo wa kati ambao wanatengeneza nafasi kwa Foward wa team
 
3 Hii ni mechi yake ya pili. Mimi nafikiri fukuza fukuza imetosha sasa, wapatikane wawili CDM wazuri na namba 9 mmoja kocha apewe muda. Kama ni kuondoka waondoke viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…