Acheni kununua vitu mkononi

Acheni kununua vitu mkononi

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Acheni kununua vitu mkononi hasa hasa simu, na vitu vya electronics isipokua tu kama mtu unamfahamu vizuri yaani ukiambiwa kamlete unafika na kubeba, ipo siku mtanishukuru, kama haumfahamu hakikisha mnapiga pcha wakati wa makabidhiano, mpge picha, akupe no. yake yenye majina kamili hakikisha aje na ID yoyote yenye picha yake, jina la id lifanane na la no.

Hakikisha anakutaftia ata ki list cha kuzugia na kama umenunua kitu kwa mtu ambacho unahsi ni cha wizi,kimbia ka restore email.

ipo siku mtanishukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie umekumbwa na nini.....by the way nyuzi kama izo zipo nyingi humu zikitutahadhalisha sana juu ya kununa vitu vya mkononi mimi mwenyewe ni muhanga.
 
Back
Top Bottom