We ni mzembe mwenyewe...biashara zinafanyika kila siku maisha yanaenda. Ukitapeliwa we mmoja kaa kimyanilinunua simu kwa mtu ambayo ni ya wizi na aloniuzia bado nawasliana nae ila kmtia mbaloni imekua ngumu anachomoa mitego
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi hua nanunua kila sikuWe ni mzembe mwenyewe...biashara zinafanyika kila siku maisha yanaenda. Ukitapeliwa we mmoja kaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kabisa, unaweza kua unanunua kila siku unaona fresg ila siku ipo tu, yamenikuta jana
Pole sana mkuu nn kimekupata ?kabisa kabisa, unaweza kua unanunua kila siku unaona fresg ila siku ipo tu, yamenikuta jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weka wazi basi nini kimekukutakabisa kabisa, unaweza kua unanunua kila siku unaona fresg ila siku ipo tu, yamenikuta jana
Sent using Jamii Forums mobile app