Acheni kupanda Daladala Mabega wazi

Acheni kupanda Daladala Mabega wazi

Faizafoxy yuko wapi siku hizi, watu wanaharibu lugha yetu kila mara
 
Aisee huwa sipendi kukaa kwenye daladala na mdada au mmama akiwa mabega wazi. Unakuta anakugusa kwenye bega au shati huku anatoka jasho kwapani kama chemchem. Badirikeni
Inachukiza sana mtu pahala pa kuweka 'r' yeye anaweka 'l' na pakuweka 'l' anaweka 'r'
Mabadiliko yaanze na wewe,shubaaaaaaaaaamit
 
na Wa huku kwet kwa kina mwamtumu ndala ndefu wananuka vikwapa hatari...
 
Hiii nikwawote ,,,anaweza kua mabega wazi lkn mtoto wawatu katupia deodorant na perfume juuu .

Sasa unakuta kidume kavaa shat ,,ilasasa hilo kwapa linavyotema [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Faizafoxy yuko wapi siku hizi, watu wanaharibu lugha yetu kila mara
Usichanganye mambo kuna mabadiriko na mabadiliko ni vitu viwili tofauti, Kuna kutoka hali moja na kwenda nyingine kwa kupoteza origin state, Na kuna kutoka hali moja kwenda nyingine bila kubadili state, kuna haya maneno Change and Transformation
 
Acha utetezi usio na mantiki. Hatuna 'Mabadiriko' kwenye lugha ya Kiswahili kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom