Acheni kuwa wapumbavu. Acheni kusingizia Mungu. Acheni kuwa wajinga!
Acheni kujificha katika kivuli cha Mungu, acheni kudanganinyika na neno Mungu. Tatueni matatizo yenu, ondoeni uovu. Hakuna Mungu atakayekuja kuwasaidia.
Acheni kuwa watumwa wa mwili. Angalieni mambo kwa akili. Tafuteni ukweli kwa kufikiri na kufanya uchunguzi. Acheni kuongozwa na maono.
Acheni kudhani kwamba mimi siwajibiki au kuna mtu mwingine ataondoa uharibifu uliotokea. Acheni kuwa wapumbavu.
Acheni kuwa wahanga wa propaganda nyeusi. Tafuteni maarifa; tafuteni ukweli. Acheni kutumikia uongo.
Acheni kuamini watu kwa maneno yao, tafuteni ukweli wa maneno yao. Tafuteni maarifa na elimu ya vitu.
Acheni kufikiri mnafanya maendeleo kwa kuwasababishia wengine uchungu. Acheni kutegemea vitu.
Acheni kudanganywa Mungu atawalipia kisasi. Mungu hausiki na visasi wala na uharibu wala na uzembe; hausiki na kushindwa kuwajibika kwa mtu.
Acheni kijificha katika kivuli cha Mungu. Tafuteni sababu na hali mbalimbali za kutokea kwa matukio. Tafuteni elimu ya viumbe.
Angalieni mna akili. Tumieni akili, tafuteni ukweli. Tambueni kwa akili wema na ubaya, ukweli na uongo; nanyi mtaishi.
Msipotumia akili hakuna mtu atakayekuja kuwasaidia: sio shetani sio Mungu; sio mizimu, sio malaika, mtaangamia- mtateseka kwa umasikini na maradhi, mtaharibikiwa na kufa.
Kataeni uongo. Ondoeni uovu, wajibikeni. Acheni kusingizia Mungu, wakati wote tafuteni ukweli wa mambo.
Kataeni hofu ya kifo. Acheni kuogopa kifo. Hakuna anayeweza kukwepa kifo, bali angalieni mioyo yenu.
Msiogope kukosolewa. Kubali kukosolewa. Jifunze kukosolewa: kubali kukabiliana na ukweli. Wavumilieni ambao hawajaelewa. Wasaidieni na kuwafundisha kwa upole.
Acheni fikira potofu kwamba nina ndugu zangu wananitegemea. Nina watoto wanaonihitaji. Lakini jitoeni kwa bidii inayofaa kuondoa tamaduni na mifumo na mafundisho yanayoharibu maisha ya watu.
Angalieni mna akili; mna wajibika kwa kila jambo. Angalieni kwamba mwili sio hatima yako ya mwisho. Juweni kwamb ubongo sio akili. Tafuteni ukweli, acheni kutumikia uongo.