Ndio tunasubiri sasa za umeme ziingie, hili hizi za Petroli zishuke kabisa mpaka buku jeroTanzania ukisha sajili gari tuu hapo hapo imesha shuka thamani hata ulete gari ya kutumia hewa
VW Touareg new model namba Crange namba e
Kivipi?Namba bado inamata
Uko sahihi sana. Niko kwenye taasisi fulani, nimengalia cruiser za Kanisa Katoliki, zina namba AAF lakini utadhani zimeletwa mwaka huu, nikilinganisha na za umma. Gari ni matunzo, kuna namba D ni mbovu kuliko namba BHii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba latest?
Unakuta mtu anauliza kabsa namba gani? Tanzania tuna mambo ya kishamba sana. Kuna gari zina hali mbaya kabsa kuliko AAD ziko ovyo sana zinasajiliwa namba ya leo ndo mtu anaamini ni gari nzuri.
Sijui kifanyike nini kuondoa huu utaratibu wakipuuzi, magari mazuri yaliyo tunzwa vizuri yana hukumiwa na namba.
Kivipi number mkuu...huo ni ushamba..nilishawahi kuagiza gari japani ikaja imejaa kutu sehemu kibao ikabidi kuipolish tena..lakini usajili mpya huo..mshkaji wangu alinunua range kwa mtu namba C lakinimmiliki wa kwanza aliinunua 0km kutoka UK jamaa ni mmiliki wa pili na mpaka leo chuma iko vizuri sana..so kuna vitu vya kuzingatia lkn sio namba matter of fact watu nchi nyingine hawana huu utaratibu kabisa ni hapa kwa nyerere tuNi kweli kigezo cha kuangalia namba ni muhimu kina kupa picha ni gari ya mwaka gani japo mara nyingi hai guarantee uzima wa gari husika.
Lakini napenda kuwashauri watu, ukitaka gari ya kununua nenda kaikague hata kama ni namba E kagua gari kwa uhakika. Sipingani na wale wanaoangalia namba ila uzoefu wangu wa kununua na kuuza magari namba huwa inanipa "assumption" lakini gari sio namba.
Nyingi zinakuja 0km mkuu..hizi namba E zimejaa mjini lakn nyingi zinakuja na 100k kuendelea ni crapsUko sahihi sana. Niko kwenye taasisi fulani, nimengalia cruiser za Kanisa Katoliki, zina namba AAF lakini utadhani zimeletwa mwaka huu, nikilinganisha na za umma. Gari ni matunzo, kuna namba D ni mbovu kuliko namba B
Uko sahihi kabisa.Nyingi zinakuja 0km mkuu..hizi namba E zimejaa mjini lakn nyingi zinakuja na 100k kuendelea ni craps
Sasa Kama serikali imeanza kupangia Gari ziingie Stand mpya za namba fulani tu sisi ni nani tusifute, Kiufupi ni mfumo rahisi wa kujua gari bado haijagongwa gongwa sana na makachanja wa Bongo wa chini ya mti, ambao kila fault kwenye gari wao ni nyundo naku Bypass.Hii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba latest?
Unakuta mtu anauliza kabsa namba gani? Tanzania tuna mambo ya kishamba sana. Kuna gari zina hali mbaya kabsa kuliko AAD ziko ovyo sana zinasajiliwa namba ya leo ndo mtu anaamini ni gari nzuri.
Sijui kifanyike nini kuondoa huu utaratibu wakipuuzi, magari mazuri yaliyo tunzwa vizuri yana hukumiwa na namba.
Subiri ukutane na namba E kumbe imetoka hapo kisiwa ndui na iliingia Zanzibar 10yrs ago ila nimeivusha bara na kuipa usajiri mpyaSasa Kama serikali imeanza kupangia Gari ziingie Stand mpya za namba fulani tu sisi ni nani tusifute, Kiufupi ni mfumo rahisi wa kujua gari bado haijagongwa gongwa sana na makachanja wa Bongo wa chini ya mti, ambao kila fault kwenye gari wao ni nyundo naku Bypass.