Acheni kuwalisha wachezaji unga wa mahindi

Acheni kuwalisha wachezaji unga wa mahindi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ngano, mchele, vizazi, yams, mihogo, ndizi ni bora kwa ubongo kuliko nafaka ya mahindi.

Mahindi yanatupatia nguvu lakini hayafanyi vizuri kwenye kumbukumbu, maarifa na kufocus. Hebu linganisha makabila yooote yanayotumia mahindi kama chakula chao kikuu na yale yasiyotumia mahindi kama staple food kwenye kufocus, kuamua na maisha Kwa ujumla.

Mchezaji aliyekula ugali ni rahisi sana kushindwa kufunga penalti. Forward ni rahisi kukosa kufunga goli la wazi.
 
Back
Top Bottom