Acheni majungu makazini

Majungu muhimu tena yananoga j.3 asubuhi mmekusanya umbea wooote bac mkiuweka mezani!! Mmh inanogaje!!!
 
Frnkly spkn mi majungu napenda saaaana tena saaaaanaaaaa jaman!!!
 
wanaolinda ajira kwa style hiyo mi nawachukia balaa, afadhali ya wambea kwa sababu,
1. ndo sababu inayofanya maambukizi ya ukimwi yasiishe
2. wtu kuvunja ndoa zao
3. watu kudharau ushauri na nasaha za ndugu zao
4. kazi kutofanyika kwa ufanisi
5. watu kuajiri wasio na sifa
6. majukumu mengi kufanywa kizembe kwa kutohofia kufukuzwa kazi
7..............................
8........................
9......................
10.............................
 
Ndo mana waTanzania hatuendelei, ofisini majungu mengi, mtu kufika na kufika tu asubuhi majungu majungu majungu mpk mda wa chai, kazi kiduchu majungu majungu majungu, lunch time, bada ya msosi sasa hapo ndo kama ndo fungulia ng'ang'a, wanasubiria tu muda wa kazi uishe watimue mh!
 
Hao wa Kaskazini unaosema si makazini tuu, hata humu JF si unawaona wanavyoongea kuhusu watu na mawazo (ideas)? Na hata walio kwenye siasa si unaona sijui fulani hivi fulani vile. Yaani, mnhhh wee wacha tu, hawana zaidi majungu na fitina. Pole sana kwa kukumbana nao kazini.
 
<br />
<br />
Easy easy on us hahahaha
 
Ana maanisha WAZARAMO!kama huweki wazi nawe una majungu tena mabaya sana heri ya mchawi
 
<br />
<br />
7 kupata update za ofisini
8 kujua nani anfukuzwa kazi
9 kujua nani kamtongoza nani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…