Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hizi ndo mnaita PUA AJUMENT Wataalamu?Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.
Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.
Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.
Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.
Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
Simba baada ya kumshukuru yule refa mwanadada mnakuja mnapiga keleleMchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.
Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.
Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
Hata mzazi mwenzio usimsalimie duu!Kwahyo kwenda kusalimia ni tatizo?? Kuhama au kuwa timu tofauti kwani ni uadui?? Acha mawazo mgando…!!!