Acheni roho mbaya mazee. Yaani PM yangu iko EMPTY kabisa ...dah!!

Pm yangu haijaingia msg wiki 9 sasa
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ........huo muda wa kuzoeana na watu ni kazi kuupata...kwa kushinda jf mara kwa mara..

Siunajua majukumu
Unataka pm za nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…